Benki ya
NMB imemkaribisha mshindi wa milioni 100
wa Vodacom MAHELA , Bwana Valerian
Nickodemus kwa kumfungulia akaunti na kujitolea kumpa mafunzo ya ujasiriamali
na matumizi sahihi ya fedha ili
kumwezesha kuwa na matumizi yenye tija katika maisha yake.
Mshindi wa shilingi Milioni 100
katika promosheni ya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian
Nickodemus (kati) akifurahi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB,
Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mkuu wa chapa
na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twisa baada ya kukabidhiwa fedha hizo.
Mshindi wa shilingi Milioni 100
katika promosheni ya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian
Nickodemus (kati) akikabidhiwa kadi yake ya NMB ATM na Mkuu wa Kitengo cha
Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kulia) baada ya kufungua akaunti
katika benki ya NMB. Akishuhudia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twisa.
Mshindi wa shilingi Milioni 100
katika promosheni ya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian
Nickodemus(kati) akimshukuru Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB,
Abdulmajid Nsekela (kulia) baada ya kukabidhiwa kadi yake ya NMB ATM,
akishuhudia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom Kelvin Twisa.
No comments:
Post a Comment