Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa Uhuru Mei 6,2013 katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa katika sheiha ya
Chokocho, wilaya ya mkoani ,mkoa wa Kusini Pemba. Mwenge utakimbizwa katika
halmashauri za wilaya na manispaa 161 za Tanzania .Kijiji cha Chokocho ndipo
alipozalia Rais huyo wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar. (kulia) ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Tanzania) Mh, Dkt. Fenella Mukangara. (Picha na Mwanakombo Jumaa)
Rais wa
Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt. Ali Mohamed Shein akikabidhi
Mwenge kwa Kiongozi mbio za
mwenge 2013, Juma Ali Simai leo katika sheiha ya Chokocho mkoa wa Kusini
Pemba.
No comments:
Post a Comment