Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akifungua Semina ya Wanahisa wa benki hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha juzi.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa (kulia) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
Meneja Mahusiano wa benki ya CRDB, Godwin Semunyu akifuatilia mada katika semina hiyo.
Charles Itembe akitoa mada kuhusu fursa za
uwekezaji na upatikanaji mitaji katika masoko ya fedha wakati wa semina ya
wanahisa wa benki ya CRDB iliyofanyika mjini Arusha.
Wanahisa wakiwa katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment