Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Picha na Anna Nkinda - Maelezo
Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef mara baada ya kumalizika utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) wakifuatilia utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akipongeza Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Kuli ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef.
Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) wakifuatilia utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment