HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 28, 2013

HISPANIA YAING'OA ITALIA KWA PENATI 7-6, SASA KUIVAA BRAZIL FAINALI

Cheeky: Italy's Antonio Candreva kicked off the shootout by executing a 'Panenka' chip over Casillas
Antonio Candreva akifunga penati yake kwa staili ya  'Panenka' ambayo kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuweza kuokoa. (Habari kamili iko chini ya picha hizi).
Blasted: Xavi levelled scores for Spain by sending Gianluigi Buffon the wrong way with a powerful effort
Xavi akimtungua Gianluigi Buffon aliyeanguka upande wa kushoto (kama anavyoonekana), huku mpira ukienda kulia.
Too much to take: Iker Casillas couldn't watch Spain's penalties during the shootout
Kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuwa akiangalia upigaji wa penati za nchi yake, Hapa akiziba uso ili asione nyota wa Hispania akipiga penati yake
Placed: Alberto Aquilani strikes out of Casillas' reach, while Andres Iniesta does the same to Buffon (below)
Juu ni Alberto Aquilani, akimtungua Casillas. Chini ni Andres Iniesta naye akimchambua Buffon.
Iniesta
No chance: Daniele De Rossi blasts his effort high into the top left-hand corner
Mautundu ya Daniele De Rossi, yakimpeleka sokoni Casillas kama anavyoonekana.
Hit don't lie: Gerard Pique's calmly-placed effort for Spain delighted his pop star girlfriend Shakira (below)
Juu ni Gerard Pique akimpoteza Buffon. Chini nyota wa muziki wa Pop, Shakira (mpenzi wa Pique), akimshangilia.
Shakira
Ice-cool: Italy's Andrea Pirlo rolled a penalty perfectly into the bottom-left hand corner past Casillas
Juu ni Fundi Andrea Pirlo akipiga rula yake. Chini, Casillas akikaa bila kujua ni vipi ataokoa mkwaju huo wa Pirlo.
Pirlo
Straight in the corner: Chelsea star Juan Mata sent Buffon the wrong way with a clever left-footed strike
Nyota wa Chelsea, Juan Mata akimtungua Buffon katika namna ya kustaajabisha.
It's over: Italy's Leonardo Bonucci sends his shot wildly over, ending the breathtaking run of penalties
Maskini weee!!!! Leonardo Bonucci akishuhudia Casillas akipangua penatui yake katika mechi hiyo.
We've done it: Manchester City new boy Jesus Navas (second left) celebrates after the winning shot
Kimeeleweka: Nyota mpya wa Manchester City, Jesus Navas (wa pili kushoto) akishangilia na wachezaji wa Hispania baada ya kufunga penati ya ushindi.
Touch of class: Casillas (right) went straight to console opposing number Buffon instead of celebrating
Hongera mwana: Kipa wa Hispania, Casillas (kulia) akipewa pongezi huku naye akitoa pole kwa kipa wa Italia, Buffon.


FORTALEZA, Brazil

Mtokea benchi Jesus Navas aliifungia Hispania penati ya ushindi na kuichapa Italia kwa mikwaju 7-6 baada ya sare ya bila kufungana kwa dakika 120 za nusu fainali hiyo ya pili, baada ya juzi Brazil kuiduwaza Uruguay kwa mabao 2-1

MABINGWA wa Dunia, timu ya taifa ya Hispania, jana usiku imefanikiwa kufuzu fainali ya Kombe la Mabara inakotarajia kuwavaa wenyeji Brazil, baada ya kushinda nusu fainali yao kwa penati 7-6 dhidi ya Italia iliyopigwa jijini hapa.

Baada ya dakika 120 za sare ya bila kufungana, pambano hilo liliingia katika changamoto ya mikwaju ya penati, ambapo mtokea benchi Jesus Navas alifunga penati ya ushindi kuipeleka Hispania katika njia ya kuwekla rekodi ya kutwaa mataji matatu makubwa.

Italia iliponzwa na tuta lililoota mbawa la beki Leonardo Bonucci, huku Riccardo Montolivo, Andrea Pirlo, Sebastian Giovinco, Daniele De Rossi, Alberto Aquilani na Antonio Candreva kufunga penati zao.

Kwa upande wa Hispania, ukiondoa penati ya ushindi ya Navas, wengine waliotangulia kufunga walikuwa ni; Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Gerrard Pique, Sergio Ramos, Juan Mata na Sergio Busquet.

No comments:

Post a Comment

Pages