Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Makamu wa Rais ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. (Picha na OMR)
June 10, 2013
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSOLOM KIBANDA
MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSOLOM KIBANDA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment