Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk. Raynold
Mfungahema,akionyeshwa na Rajabu Husein
ujumbe kwenye simu yake wakati alipokuwa akitoa mada ya haki
na wajibu wa watumiaji wa huduma
za mawasiliano katika semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau)
iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Semina hiyo
iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold
Mfungahema,akimsikiliza mmoja wa wanasemina waliohudhuria katika semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau)
iliyowalenga wawakilishi ,jumuiya
mbalimbali za vijiji na vitongoji vyaWilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina
hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi akisalimiana na Ramadhan Said wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya
mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.semina
hiyo ilialiandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya
Mashariki.
Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Mhandisi Oscar Mwanjesa (kulia), akimkabidhi zawadi ya
King’amuzi cha Digtek, Ofisa Tarafa Chalinze, Mary Koha baada ya
kujibu swali kwa ufasaha wakati wa semina ya watumiaji wa huduma za
mawasiliano iliyofanyika katika chuo cha sanaa cha Bagamoyo kwa kuwashilikisha
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya hiyo. 
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahamed Kibozi (kushoto) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano Dk.Raynold Mfungahema akitoa mada
ya Haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Afisa wa Idara ya Posta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
TCRA, Cecilia Sylvester, akitoa mada juu ya mfumo mpya wa anuani za posta wakati wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Patrice Lumumba akitao
zawadi ya simu kwa mmoja wa wasshiriki wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya
mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani
Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya
Mashariki hivi karibuni.
Kaimu Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA) Fredrick Ntobi akitoa mada inayohusiana na utangazaji.
No comments:
Post a Comment