Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(katikati) na MjumbewaTume hiyo, Joseph Butiku (kulia) mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania iliyoandaliwa naTume, katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam
MwenyekitiwaTumeyaMabadilikoyaKatiba,
Jaji Joseph Warioba (kushoto) akimwongozaMakamuwa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Mhe. MaalimSeif Sharif
Hamad mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania iliyoandaliwa naTume.
1. MakamuMwenyekitiwaTumeyaMabadilikoyaKatiba,
Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani (kushoto)
akisalimiana na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha Rose
Migiro kabla ya kazi ya uzinduzi wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
iliyoandaliwa na Tume. Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
Salaam.
(PICHA NA TUME YA KATIBA)
No comments:
Post a Comment