HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 07, 2013

KAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YATEMBELEA MIRADI YA PSPF

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Adamu Mayingu akizungumza na waandishi wa wa habari wakati Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara iliponya ziara katika miradi ya mfuko huo.
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge wakiingia katika moja ya nyumba zilizopo katika eneo la Buyuni Chanika nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge wakitoka kuangalia  moja ya nyumba za mradi wa PSPF zilizopo katika eneo la Buyuni Chanika nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.
 Mwenyeki wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Habib Mnyaa (kushoto) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu wakati wa ziara ya kamati hiyo katika miradi ya ujenzi wa nyumba ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)
 Picha ya p.amoja
 
Mwenyeki wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Habib Mnyaa (kushoto) akifafanua jambo.

No comments:

Post a Comment

Pages