HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 12, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA DKT. JUDITH KAHAMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo Julai 11, 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji baadhi ya ndugu wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Pages