HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 21, 2013

Mama Shein, Atoa Msaada kwa Soba House Pemba

 Ofisa Mdhamini wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba Bi Jokha Khamis Makame, kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akimkabidhi vyakula msaidizi katibu wa Soba House iliyopo Mkanjuni  wilaya ya Chake chake,vyakula vikiwemo Unga ngano,Mchele Mafuta na Tende na Mafuta ya kupikia,kwa ajili ya vijana walioachana na madawa ya kulevya. (Picha na Ramadhan Othman,Pemba) 
 Afisa Mdhamini wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba Bi Jokha Khamis Makame, kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akimkabidhi vyakula  Mkuu wa Soba House iliyopo Wete Mkoa wa kaskazini Pemba Abdul Wahid Salum,vyakula vikiwemo Unga ngano, Mchele Mafuta na Tende na Mafuta ya kupikia,kwa ajili ya vijana walioachana na madawa ya kulevya.

No comments:

Post a Comment

Pages