HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 19, 2013

MAREKANI YAMPOKEA KWA SHANGWE BALOZI MULAMULA BAADA YA KUMKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO RAIS OBAMA

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula akiwa na Rais wa Marekan Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho Alhamisi Julai 18, 2013 katika Ikulu ya marekani "White house" na kisha kufuatia na tafrija ya kumpongeza iliyofanyika katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. (Picha kwa hisani ya Swahili Tv)

No comments:

Post a Comment

Pages