HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 10, 2013

MBUNGE WA MUSOMA AKAGUA MRADI WA MAJI MUSOMA

Mbunge wa jimbo la Musoma mjini kwa tiketi ya chadema,Vicent Nyerere (kushoto) akipata maelezo toka kwa meneja wa mradi wa maji Rajesh Parihar unaojengwa katika eneo la Bukanga nje kidogo ya mji wa Musoma jana alipotembelea mradi huo,mradi ambao unatarajia kukamilika mwakani ambao umeghalimu kiasi cha cha shilingi bilion 40-(Picha na Berensi Alikadi)

No comments:

Post a Comment

Pages