HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 11, 2013

TANGAZO LA MSIBA WA HUMPHREY GEORGE LUPENZA - MUME WA LEAH SAMIKE


Mpigapicha na Mweka Hazina wa Cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT) Leah Samike (pichani) anawatangazia kifo cha mume wake, Humphrey George Lupenza kilichotokea leo Saa 10:55 alfajiri katika Hospitali ya Hindu Mandal Dar es Salaam.

Msiba upo nyumbani kwa Marehemu, Kipunguni B-Ukonga Moshi Bar. Jirani na Kanisa la Pentekoste (Kanisa la Mabati). Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzako.
 Marehemu ameacha Mke na watoto 5.
 Tuungane na familia ya Marehemu katika kuipa faraja.

No comments:

Post a Comment

Pages