Na Elizabeth John
Akizungumza jijini Dar es Salaam, PNC
alisema, ukimya wake haukuwa
bure, bali alikuwa anajipanga vema na ujio wake mpya umekuja huku Diamond akionekana
kuliteka anga la muziki huo na kumtambia
kuwa muda si mrefu atamfunika.
"Nilikaa kimya muda mrefu baada ya kutamba
na ngoma yangu ya 'Mbona'
niliyomshirikisha Mr. Blue na kipindi chote nilikuwa najaribu kuangalia jinsi nitakavyoliteka anga
la muziki huu na ujio wangu mpya,"
alisema PNC.

PNC
aliwaomba mashabiki wake wakae mkao wa kula kwaajili ya kuip[okea kazi hiyo
ambayo anasema itafanya vizuri na kuwashika mashabiki wengi,” alisema.
BAADA ya kimya cha
muda mrefu, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Pancras
Ndaki 'PNC', ameibuka na kudai amerudi kufanya mageuzi makubwa katika muziki huo kwa kuachia
kazi yake mpya inayokwenda kwa
jina la 'Wewe'.
“Kwani Diamond
anatumi nini kuimba mpaka mimi nishindwe kumfunika katika fani hii, najipanga
kuja kivingine mashabiki wangu wakae mkao wa kula,” alisema.
No comments:
Post a Comment