HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 26, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA LEO KAMBI YA KABOYA, BUKOBA, MKOANI KAGERA

Katika maadhimisho hayo alikuwepo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao/sime katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera. (Picha na Ikulu)
 Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. Pembeni ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu.
 Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. 
 Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. 
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wazee waliopigana vita.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mzee Andrea Mtangi, aliyezaliwa 1924, akiwa ni miongoni mwa wapiganaji wa vita mbali mbali. (Picha na Ramadhan Othman, Bukoba)
Rais Jakaya Kikwete akitembelea makaburi ya mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda. 
 Baadhi ya Vifaa vilivyotumika wakati wa Vita vya kagera.

No comments:

Post a Comment

Pages