HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 21, 2013

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa Chedema, mkoani Shinyanga

Sehemu ya umati wa wananchi wa Shinyanga wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe (hayupo pichani) akihutubia mkutano wa hadhara uliotanyika Uwanja wa Mahakama ya Mwanzo, Nguzo nane, Shinyanga mjini, juzi, ikiwa ni sehemu ya shughuli za kukamilisha uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Mashariki (Shinyanga, Mara na Simiyu)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akionesha kitabu cha CCM kiliachoandikwa 'Sera za Msingi za CCM', ambapo kwenye ukurasa wa kifungu cha 9.1 kimezungumzia majukumu ya Jumuiya za chama hicho, ikiwemo kutoa mafunzo ya ulinzi, usalama na ukakamavu kwa vijana wake kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).

No comments:

Post a Comment

Pages