HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 30, 2013

UJUMBE WA BENKI YA CRDB WAKUTANA NA RAIS Dk.SHEIN

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Benki ya CRDB, ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa  benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages