HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 23, 2013

JWTZ KUTOA TAARIFA ZA KUTOROKA KWA LUTENI KANALI SEROMBA


         JWTZ litatoa taarifa kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba.  Kwa mujibu wa taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo, taarifa hizo zitatolewa Agosti 24.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi.
Dar es Salaam.

Kwa Mawasiliano zaidi  0715-270136 au 0754-270136

No comments:

Post a Comment

Pages