Wanachama wa Habari Group wakia katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation bi, Aisha Sururu. |
Mwanachama wa Kikundi cha Habari Group, Asha Bani kulia akikabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Katibu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha Al-Hidaya Orphans Center and Tahfidhil-qur-an cha Buguruni Bw. Abubakari Simba Dar es salaam
No comments:
Post a Comment