HABARI MSETO (HEADER)


September 29, 2013

SIMBA YAZIDI KUPAA; YAICHAPA JKT RUVU 2-0
 Wachezaji wa Simba na Ruvu JKT wakisalimiana kabla ya pambano lao la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akimiliki mpira huku akizongwana na wachezaji wa JKT Ruvu, Nashon Naftali (kulia) na Emmanuel Pius wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.
 Kizaazaa
 Mwamuzi wa mchezo huo, A. Kayombo kutoka Rukwa akiwatuliza wachezaji wa JKT Ruvu baada ya kuilalamikia pelnati waliopata Simba. 
 Mnazi wa Simba akifurahia matokeo ya mechi ya leo.
 Joseph Owino akichuana na Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Amos Mgisa.
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akichuana na beki wa JKT Ruvu, Stanley Nkomola.

No comments:

Post a Comment

Pages