Ras Aluta Christopher Warioba akiongea na
waandishi wa habari kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika
leo kwenye viwanja vya
BASATA
Ras Inocent akiongea neno kwenye kongamano
la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya
BASATA
ENDELEA KUSOMA HABARI HII
KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ras Ton akizungumza na vyombo vya habari
wakati wa kongamano la Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja
vya BASATA
Ras Baraka akiwa kwenye stage
akifanya maandalizi ya kuonesha burudani kwa wapenzi wa
Reggea
Ras Inocent akitoa burudani kwenye
kongamano hilo
Hata wakina mama nao
walikuwepo
Hapa ni kuruka wa
burudani
Mama huyu alishindwa kuvumilia music wa
Reggea akaanza kucheza kwenye
mvua
Dabo akitoa burudani wakati mvua
ikiendelea kunyesha
yaani mzuka kulikuwa hakuna kusitisha furaha kwa wapenzi wa Reggea
wwaliokuwa kwenye tamasha
ilo
Ni burudani tu hakuna kusubilia mvua
ikatike

Ras Ikabonnga Katondo akiwa na
Ras Anord Kalikawe kwenye kongamano lililofanyika leo kwenye
viwanja vya BASATA
PICHA ZOTE NA PAMOJAPURE/PAMOJA
BLOG













No comments:
Post a Comment