Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akimkabidhi tuzo ya
jumla Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga baada ya
kuwa washindi wa jumla kwa uwakilishaji wa mapema michango ya
wafanyakazi wake katika Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF),
wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliofanyika leo katika Hoteli ya
Kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa
Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga akiwa na tuzo zilizotolewa na Mfuko
wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF),kwa benki hiyo baada ya
kuwa washindi wa jumla kwa uwakilishi wa mapema wa michango ya ya wafanyakazi wao
katika mfuko wa PPF, wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliofanyika leo katika Hoteli ya Kimataifa wa AICC jijini Arusha .
Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga (katikati) akiwa na maofisa benki ya CRDB baada kukabidhi tuzo ya taasisi za fedha zilizowakilisha mapema michango ya wafanyakazi wake katika Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliofanyika katika Hoteli ya Kimataifa wa AICC jijini Arusha. Kushoto ni Meneja Rasirimali Watu, Glory Mwanyika na Ofisa Rasirimali Watu, Prisca Massawe.
Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya pamoja.
Magnificent Piece of writing
ReplyDeletemy site Henry Wood