HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 06, 2013

RAIS KIKWETE ATETA NA MTOTO WA KIMASAI
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette Mtambo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Pages