HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 10, 2013

BENKI YA CRDB YATOA POLE MSIBA WA MANDELA

Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDBTully Mwambapa akimpa maua Katibu wa Kwanza wa Balozi wa Afrika Kusini, Joymery van de Merue wakati uongozi wa Benki ya CRDB ulipofika kutoa pole kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Kulia ni Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Henry Chiliza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati), akimpa pole balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza alipofika ofisini kwake jijini Dar es Salaam, kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDBTully Mwambapa.(Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDBTully Mwambapa akimpa pole Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.
 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimpa pole Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Edwin Nchimbi akimpa pole Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Kwanza wa Balozi wa Afrika Kusini, Joymery van de Merue akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDBTully Mwambapa.
Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 
Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei. 
Dk. Kimei akiagana na Balozi Chiliza.
Dk. Kimei akitoka nje ya ofisi ya Balozi.
Dk. Kimei akiongea na waandishi wa habari. 
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akiagana na Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.

No comments:

Post a Comment

Pages