NDEGE ya Kampuni ya Presicion Air yenye namba 5H 22 ikiwa
imelala kwa tumbo katika uwanja mdogo wa ndege wa kisongo, Arusha. Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa alikuwa ni miongoni mwa abiria walionusurika kufa baada ya magurudumu yote manne kupasuka wakati ikitua.(Picha na Grace Macha)
No comments:
Post a Comment