HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 09, 2013

MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANA
Rais Jakaya Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama akipunga mkono kwa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi,  Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Francis Dande)
Rais Jakaya Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama akigaua vikosi vya ulinzi na Usalama wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Uhuru zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar ers Salaam, kuhudhuria sherehe za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Watoto wa halaiki wakiimba nyimbo wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 Wananchi wakifuatilia maadhimisho hayo.

 Msondo Ngoma Music Band ikitumbuiza.

 Jaji Mkuu Othuman Chande akiwasili.
 Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein (kushoto), akisalimiana na Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
 Mke wa Rais, Salma Kikwete akiwasili. 









No comments:

Post a Comment

Pages