Mabinti wakiwamefunikwa shuka ili kumpa ugumu mshenga wa upande wa bwana harusi mtarajiwa kumtambua binti anayetolewa mahali, na endapo angeshindwa kumtambua alipaswa kulipa sh mil moja, hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa wazazi wake eneo la Block T jijini Mbeya.(Picha na Kenneth Ngelesi)
Aloyce Mrema akimvisha pete ya uchumba, Glory Tesha katika hafla ya kutambulishwa rasmi katika familia hizo mbili iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wa Glory Mrema eneo la Block T jiji Mbeya. Aloyce ni mfanyabishara Glory ni mfanyakazi wa Bank ya Exims jijini Mbeya wote wawili wana asili ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Aloyce Mrema akiwa na furaha wakati akimvisha pete ya uchumba, Glory Tesha katika hafla ya kutambulishwa rasmi katika familia hizo mbili iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wa Glory Mrema eneo la Block T jiji Mbeya. Aloyce ni mfanyabishara Glory ni mfanyakazi wa Bank ya Exims jijini Mbeya wote wawili wana asili ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Mmeiona!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment