Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (J.W.T.Z) litapokea ugeni wa
Meli Vita kutoka Jamhuri ya watu wa China tarehe 29 Desemba 2013 katika
Bandari ya Dar es salaam na Meli hizo zitaondoka tarehe 01 Januari 2014 kurudi
nchini China.
Aidha, Waandishi wa Habari
wanakaribishwa katika mapokezi hayo mnamo Desemba 29, 2013 saa 3:00 asubuhi ili
kufanya Coverage katika ugani huo wa pekee.
Imetolewa
na Kurugenzi ya
Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P
9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa
mawasiliano: 0783 - 309963
No comments:
Post a Comment