Na Elizabeth John
MTAYARISHAJI na
Muigizaji wa filamu nchini, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ amesema filamu yake ya ‘Who’s
Bad’ itakuwa kazi yake ya kufungia mwaka ili kuzipa nafasi kazi nyingine
kufanya vizuri.
“Kama ambavyo wengi wamenizoea ninapotoa kazi
inakuwa ni bora na lazima ikimbize sokoni, sinema yangu ya Who’s Bad itafunga
mwaka kama kazi bora nakuwa makini sana katika utengenezaji wa filamu na ndio
kilichofanyika katika filamu hiyo wasanii wamekamua sana na kuonyesha uwezo wa
hali ya juu,” anasema Nice.
licha ya kuisambaza kazi hiyo, Mtunis amekuwa
akifanya vizuri katika tasnia ya filamu za Bongo, na anatamba na kazi zake kama
Bar mead, Clinic Love na na nyinginezo.

hali ya juu,” anasema Mtunisi.
licha ya kuisambaza kazi hiyo, Mtunis amekuwa
akifanya vizuri katika tasnia ya filamu za Bongo, na anatamba na kazi zake kama
Bar mead, Clinic Love na na nyinginezo.
Kazi hiyo ambayo
imeingia mtaani hivi karibuni, imesambazwa na kampuni ya Steps Entertaunment na
ameshirikiana vema na wasanii wengine wanaofanya vizuri katika tasnia hiyo,
akiwemo Patcho Mwamba.
Akizungumza
jijini Dar es Salaam jana, Mtunis amewataka wapenzi wa kazi zake kuipokea vema
kazi hiyo ili ifanye vizuri katika soko hilo.
No comments:
Post a Comment