HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 30, 2013

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA YAKABIDHI RASIMU YA KATIBA MPYA KWA RAIS JK
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba katika hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akimkabidhi Rais wa Zanzibar SMZ, Dk. Ali Mohamed Shein Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba.
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Rasimu ya Katiba mpya.
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rasimu ya Katiba mpya.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar SMZ,  Maalimu Seif Sharif Hamad akipokea Rasimu ya katiba Mpya.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar SMZ,  Balozi Seif Idd  akipokea Rasimu ya katiba Mpya.
 Spika wa Baraza la wawakilishi la Zanzibara, Pandu Kificho akipokea rasimu ya Mabadiliko ya katiba Mpya.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Anne Makinda akipokea Rasimu ya Mabadiliko ya Katiba kutoka kwa Mh..Rais
 Rais Kikwete akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande.
 Mbunge wa kigoma kaskazini akiipitia Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba.
 Rais jakaya kikwete akitoa hotuba yake.
 Baadhi ya wananchi wa wakifuatilia hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Raisimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mark Bomani.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Raisimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba aliyewahi kuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza,Hassan Nassoro  Moyo.

No comments:

Post a Comment

Pages