Mkurugenzi wa Tanzania Homes
Expo, Zenno Ngowi akizungumza na
waandishi Dar es Salaam jana kuhusu Uzinduzi wa maonesho ya 4 ya Tanzania Homes
Expo na EAG Group Ltd yatakayofanyika Dar es Salaam kuanzia Agosti 23-24 mwaka
huu. Kushoto ni Meneja Biashara,Mathew Gugai. (Picha Francis Dande)
Nduguwanahabari,
Nduguwafanyakaziwenzanguwa Tanzania
Homes Expo,
Nduguwafanyakaziwa EAG Group LTD,
Habarizaasubuhi,
Heriyamiaka
50 yakuzaliwaTanzania !
Awaliyayotenapendakuwashukurusanakwazawadiyamudanakuwepokwenuhapa,
tunatambuaukubwanaumuhimuwakaziyenunapiamudamchachemlionao.
Inanipafarajakukutanananyitenahapakwenyeukumbiwaidarayahabarimaelezo,
hiinimarayannekukutanananyijuuyasualahili la msingi;
UchocheajikasiyaupatikanajiwamakazinavifaavyaujenzikwaWatanzania. Maonyeshoya
Tanzania Homes Expo yamekuanakufikiakiwango cha
kuwamaonyeshomakubwazaidinayanayokutanishawatoahudumambalimbalizanyumbanawanunuziwengizaidinchini
Tanzania. Maonyeshoya mwaka 2013, jumlayawatu 20,000 walitembeleamaonyeshoya
Tanzania Homes Expo napiaMakampunizaidiya 90 kutoka Tanzania nanjeya Tanzania
yalishiriki.Maonyeshoya mwaka 2013, yalishirikishawashirikitoka Tanzania, pia
Kenya, UturukinaUjerumani.
Nduguwanahabari;
Upatikanajiwamakazinikatiya
mambo muhimusanakatikamaishayetuyakilasiku,
hivyotaarifajuuyasektahiinimuhimuzaidiilikusaidiawananchikupatataarifasahihi,
kupunguzabeinakujuanjiambadalazakujenga au kupatamakazi, hivyobasimaonyeshoya
Tanzania Homes Expo nijukwaamuhimu la
kuwawezeshaWatanzaniakupatataarifazasektayanyumbakutokakwawatoahudumawengimahalipamoja.
Utafitiumeonyeshakwambamaonyeshoyanyumbandionjia
bora zaidiyauuzajinaupatikanajiwataarifazanyumbakulikonjianyingineyeyote. Ni
ukweliusiofichikakuwakablayakufanyamanunuziyanyumba, au kuchukuamkopo au
vifaavyaujenzikunamaswalimengimnunuzianajiuliza; Kwamafano je hiindiobei bora
zaidinitakayopata, Je nivifaaimara,
Jekunawatoahudumawenginewanaotoahudumakamahii? Je wapinawezakupataushaurijuuyaujenzi?.Hayanikatiyamaswaliambayomwananchianapotembeleamaonyeshoya
Tanzania Homes Expo
anapatamajibuyakekwamapanazaidipiaanapatafursayakulinganishabidhaanawatoahudumawengizaidiwasektayanyumba.
Nduguwanahabari,
Kuanzishwakwa
Tanzania Homes Expo kunaendasambambanakukuakwakasikwasektayamakazinahivyokupelekeaumuhimuwakuwakomaonyeshoyanayokutanishawatoahudumanawatejawasektahii.
Maonyeshoya mwaka huuyatavutiawatoahudumawasektambalimbalikama; Mabenki,
wajenzinawauzajiwanyumba, Mashirikayabima, Makampuniyavifaavyaujenzi,
Makampuniyanayotoahudumayanishatimbadala, mapambonabidhaanyinginezaujenzi.
Nduguwanahabari,
Kama
wengiwenumnavyofahamunakamanilivyosemaawali, upatikanajiwamakazinimojakatiyachangamotokubwakwawakatihuu,
hililinatokananauwianouliopeleawauwepowamakazinamahitajipiaongezeko la idadiyawatuhususanimijiniimechangiakwakiasikikubwakuongezakwachangamotoyamakazi.
Aidha,
gharamazaujenzinauwezomdogowakifedhapiayamechangiakupunguzakasiyaupatikanajiwamakazi.
TunapendakuipongezaSerikalikwa sera ambazozimeanzakuzaamatundahususani;
· Sera yaMaendeleoyaMakaziya mwaka 2000.
Sera
hii imewezesha upimaji wa viwanja kupitia miradi mbalimbali kufanyika.
Vilevile ili kuendana na utekelezaji wa Mkakati wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara
Tanzania (MKURABITA).
Tunafurahi kuwa Wizara ya Aridhi wapo hapa kuwaeleza Watanzania
mambo mbalimbali yanayohusu sekta hii.
Maboresho ya Shirika
la Nyumba (NHC) ambalosasalinatekelezamkakatiwaujenziwanyumba 15,000.
Ni Furaha
yetukubwakwamba NHC wameshiriki maonyesho haya tangu mwanzo na wana nyumba za kuuza.
Tunapenda kutumia fursa hii kutoa ponge zinyingi na dhati kwa NHC kwanza kwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye shirika na kuwezesha Watanzania wengi kumiliki nyumba kuliko awali.
Aidhauanzishwajiwa
Mortgage Refinance Company
ambayoinawezeshaupatikanajiwamikopoyanyumbakwawananchikupitiamabenki.
Piatunafurahikuwa TMRC kuwammojawawadauwakubwasanawa Tanzania Homes Expo
tanguyalipoanzishwa.
Nduguwanahabari,
Kwamaranyinginetenanakwakutambuakuwahuunimudamuafakatukielekeakwenyebajetiya
mwaka 2014-2015 tunapendakutoaraikwaserikalikuondoatozoyaongezeko la dhamani
VAT kwenyevifaavyaujenzi. Tunaaminikwadhatikwakufanyahivi Tanzania
itafaidikana;
·
Kupunguzabeizanyumbakwawanunuzi.
·
KupunguzabeiyavifaavyaujenzinahivyokupunguzamzigomkubwawaujenziwanyumbakwaWatanzania.
Tumeona
mambo mengiambayoserikaliya Tanzania imekuasikivunakuyafanyiamabadiliko,
tunaaminikuwahilinijambomuhimukatikakuboreshaupatikanajiwamakazikwaWatanzania.
Nduguwanahabari,
KupitiakwenutunapendakutangazarasmikuwaMaonyeshoyasektayanyumbayaani
Tanzania Homes Expo mwaka 2014 yatafanyikatarehe23-24 Agostijijini Dar es
salaam. Mwaka huutunatarajiamakampunizaidiya 100 kushirikinapiakwamaraya kwanza
wabunifuwamapamboyandani, wabunifuwamichoroyanje,
washauriwamiradiyanyumbanaowataungananawashirikiwenginekutokasektaza; mabenki,
mifukoyajamii, wajenzi, makampuniyavifaavyaujenzi, watoahudumazanyumbani,
sektayaafyayafamilia, makampuniyabima,
vifaavyamajumbaninawatoahudumanyinginekwenyemaonyeshoya Tanzania Homes Expo
2014.
KwanjiayapekeetunapendakushukuruWizarayaAridhinaMaendeleoyaMakazikwakutuungamkononakuyatumiamaonyeshoya
Tanzania Homes Expo kamajukwaamuhimu la
kutoaelimukwaummajuuyamaendeleoyamakazina mambo mengineyahusuyonyumba.
Ahsantenikwakunisikiliza.
No comments:
Post a Comment