Skimu ya Maji ya Kabambe iliyojengwa katika Wilaya ya Monduli kata ya Majengo kuwasaidia
wakulima kupata maji kwa ajili ya kilimo cha Mahindi, Ndizi na Mbogamboga, ikiwa
ni sehemu ya miradi inayoratibiwa na ASDP na kusimamiwa na wadau wa maendeleo IFAD.
Mojawapo ya Shamba la Nyanya linalotumia
Skimu ya Maji ya Kabambe inayoratibiwa na Miradi ya ASDP katika Wilaya ya
Monduli.
Shamba la Mbogamboga la Wakulima wa Monduli wanaotumia
Skimu ya Maji ya Kabambe ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya miradi ya
ASDP inayosimamiwa na wadau wa maendeleo IFAD.
Ofisa Miradi wa IFAD nchini Dkt. Mwatima
Juma pamoja na waratibu wa miradi mbalimbali akitoa maelezo kwa wakulima
(Kulia) wanaotumia Skimu ya Maji ya Kabambe iliyopo katika jinsi ya kujipanga
katika kilimo na kutunza chanzo cha Skimu hiyo iliyopo katika Wilaya ya Monduli
katika kata ya Majengo Mkoani Arusha. (Picha na Francisca Swai-PMO)
No comments:
Post a Comment