Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwani Wema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo piuchani) kuhusu taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya watu au makampuni binafsi kuhusiana na maudhui ya Tamko la Serikali lililoziagiza wakala binafsi wa Huduma za Ajira kuwasilisha upya maombi ya usajili wa uwakala kwa Kamishna wa Kazi. (Picha na Frank Mvungi-Maelezlo)
Afisa Kazi wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Themistocles Rumboyo akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa hadi kufikia Februari mwaka huu jumla ya maombi 56 ya makampuni ya huduma za ajira nchini yamewasilishwa kwa Kamishna wa Kazi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bw. Ridhiwani Wema.
No comments:
Post a Comment