Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
Wakishindana katika mchezo wa kuvutana kamba.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, katika ufu
kwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
Watoto wakifurahia kuchezea vibaiskeli
Wakigongeana glasi zenye vinywaji kwa lengo la kutakiana heri
Vipimo kwa ajili ya afya havikukosekana.
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam..
Du maajabu hayo.
Badhi ya viongozi wa TBL wakistarehe huku wakibadishana mawazo
Wakishindana kucheza Water Pole
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Magese (kulia), akimkabidhi mtoto Said Shaban zawadi baada ya kuwa mmoja wa washindi wa mbio za watoto wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu, Kunduchi, Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja Mauzo wa TBO Kanda ya Kusini, James Bokela.
Sasa ni wakati wa kucheza twist
Bendi ya Mashujaa iktoa burudani.
No comments:
Post a Comment