HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 16, 2014

Majadiliano ya masuala ya kodi Afrika yafanyika Arusha
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (wa pili kushoto)  akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRA, Rished Bade (kushoto) na Dk.Jeffrey Owens mtaalam mshauri wa kodi na mhadhiri chuo Kikuu cha Uchumi na Biashara, Viena mara baada ya waziri kufungua mkutano wa majadiliano ya masuala ya kodi unaofanyika katika Hotel ya Naura spring jijini Arusha.
Picha ya pamoja.

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika unaofanyika jijini Arusha.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akijadiliana jambo na Rais wa kituo cha Kimataifa cha Ukusanyaji Kodi na Uwekezaji, Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Pages