Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akipata ufafanuzi kuhusu mradi wa Dege Eco village kutoka kwa Mhandisi Julius Nyamuhokya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF alipotembelea Banda la Shirika hilo katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya sabasaba yaliyomalizika hivi karibuni.
Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume wa NSSF (kulia), akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene wakati alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya Sabasaba.
Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akipata ufafanuzi kuhusu mradi wa Dege Eco village kutoka kwa Mhandisi Julius Nyamuhokya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF alipotembelea Banda la Shirika hilo katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya sabasaba yaliyomalizika hivi karibuni. Kulia ni Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja, Eunice Chiume wa NSSF.
Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NSSF.
No comments:
Post a Comment