HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 13, 2014

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAWAUNGISHA WAUZA SAMAKI PANGANI

 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa maabara Shule ya Sekondari Kipumbwi. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Pages