HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 04, 2014

VILAINISHI VYA GAPCO RELSTARALPHA 4T VYAZINDULIWA DAR

 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabara Tanzania, Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakizindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam.
 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarania Tanzania, Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakipiga makofi mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam. 
 Picha ya pamja mara baada ya uzinduzi wa vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam jana.
  Mkuu wa Kikosi cha Usalama  Barabara Tanzania, Mohamed Mpinga  akimkabidhi William Dafta koti maalum la kuaksi mwanga mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam
 Waendesha pikipiki(maarufu kama Bodaboda) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam, huku wakiwa wamevalia makoti maalumu ya kuaksi mwanga yaliyotolewa na Kampuni hiyo ili kujilinda na usalama wao.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabara Tanzania, Mohamed Mpinga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam. 

No comments:

Post a Comment

Pages