Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam. Maugo alishinda kwa point. |
Bondia Said Memba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao. Chokoraa alishinda kwa point.
Bondia Khalid Chokora kushoto akirusha konde kwa saidi Memba wakati wa mpambano wao.
Bondia Thomas Mashali kulia akimrushia
konde la mkono wa kulia bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao
uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam., Maugo
alishinda kwa point.
Mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali wakipambana ulingoni.
No comments:
Post a Comment