Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine
katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu
ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa
Chukwani leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Wananchi na Waislamu wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia ugongo katika kaburi la Marehemu Bi Rehema Khamis aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.
No comments:
Post a Comment