Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa
Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi ya Diaspora
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam. Pamoja naye ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Taasisi ya Diaspora Bw. Emmanuel
Mwachullah (wa pili kulia), Mwana-Diaspora Dennis Londa (kushoto) na
Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora Bi. Rose Jairo
No comments:
Post a Comment