Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila
Hashim Mbita, binti yake Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya Juu ya
Taifa la Zimbabwe ya Nishani ya Royal Order Of Mwanamutapa kwa kutambua mchango
wake katika ukombozi wa Taifa la Zimbabwe na nchi nyingine kusini mwa Afrika. Rais
Mugabe alikabidhi tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34 wa
wakuu wa SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa Victoria Falls, nchini
Zimbabwe.(Picha na Freddy Maro)
August 17, 2014
Home
Unlabelled
Rais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita
Rais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.






No comments:
Post a Comment