HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 09, 2014

MAOFISA WA FIFA KUWASILI AGOSTI 10

Maofisa wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wanawasili nchini Agosti 10 kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.

Ujumbe huo wa FIFA utakaokuwa na maofisa sita, baada ya ziara yake utashauri jinsi ya kuboresha uendeshaji huo katika kikao cha pamoja kati yake na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitakachofanyika mwishoni mwa wiki ijayo.

BONIFACE WAMBURA
OFISA HABARI NA MAWASILIANO
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

No comments:

Post a Comment

Pages