Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao
wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Watoto waliotembelea Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara.
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mmshiriki akionesha bidhaa za Ngozi ndani ya mabanda ya Wizara ya Viwanda na Biashara.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara,
Maria Bilia akizungumza na Waandishi wa habari.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara,
Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara,
Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho
ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara,
Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara,
Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.
No comments:
Post a Comment