Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba. (Picha zote na Francis Dande)
Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, William Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan
Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam
Malima katika mchezo wa Tamasha la Matumaini uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan
Kikwete (kushoto), akichuana na beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika
mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan
Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika
mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wakifuatilia mchezo huo.
No comments:
Post a Comment