HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 29, 2014

YALIYOJIRI KATIKA SHOO YA TWANGA PEPETA KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar.
 Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiimba kwa hisia kubwa kwa mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu kulia ni  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu.
  Haji Ramadhani(wa kwanza kulia) akiimba pamoja na waimbaji wenzake wa Twanga Pepeta kwenye club ya Maisha jijini Dar.
 Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (aliyeshika mike) akiendelea kuwaburudisha mashabiki wao kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar.
Dogo Rama.
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Pages