HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 17, 2014

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO SEPTEMBA 16-9-2014

 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages