HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 14, 2014

BONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUARI MOSI 2015 FRENDS CORNER

Bondia Thomasi Mashali kushoto akitia saini ya kupigana na Abbdallah Pazi kulia baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika January Mosi katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam.
Bondia Abbdallah Pazi kulia akitia saini ya kupigana na Thomasi Mashali kushoto baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika January Mosi katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages