Miss Ilala 2014 Jihan Dimack,
akiwanawisha watoto wanaoishi katika kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwana Orphans Centre
kilichopoVingunguti jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya chakula cha
mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi. (Picha na John Dande)
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima wakituo cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi.
Miss Ilala 2014, Jihan Dimack akila chakula pamoja na watoto waishio katika kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti jijini Dar es Salaam hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi.
Miss Ilalawamwaka 2014 Jihan Dimack akimlisha chakula Miskia Nassor, wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi.
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack akiwa amembeba mtoto FatumaYusuph, anaelelewa na kituo cha watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti jijini Dar es Salaam. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi.
Miss 2014 Jihan Dimack akitoa zawadi kwa watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima wa Kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi.
Miss Ilalawamwaka 2014 Jihan Dimack akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaolelewa na kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingungutijijini Dar es Salaam. Hafla imedhaminiwa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi.
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli ya Cape Town Fish Market.
No comments:
Post a Comment